Mpenzi msomaji wa kurasa hii kuanzia jumamosi jiandae kupata historia ya maisha ya Mt.Rita wa kashia ambaye mengi yameandikwa juu yake,daima amekuwa chombo muhimu cha kumsaidia mfuasi wa kristu ili aweze kutambua makuu ya mungu anayofanya miongoni mwa viumbe vyake,Mpenzi msomaji wa safu hii natumaini baada ya kusoma na kupata historia halisi ya Mtakatifu Rita utapata nguvu ya pekee Kuendeleza wito wa kristo katika changamoto za maisha.

No comments:

Powered by Blogger.