MASOMO JUMA LA 24 LA MWAKA JUMATANO 20 SEPTEMBA 2017
SOMO 1:1Tim.3:14-16
Nakuandikia hayo nikitaraji kuja kwako hivi karibu.Lakini nikikawia,upate kujua jinsi iwapasavyo watu kuenenda katika nyumba ya Mungu,iliyo kanisa la Mungu aliye hao,nguzo na msingi wa kweli.Na bila shaka Siri ya utauwa ni kuu.Mungu alidhihirishwa katika mwili,akajulikana kuwa na haki katika roho,Akaonekana na malaika,Akahubiriwa katika mataifa,Amaaminiwa katika ulimwengu,Akachukuliwa juu katika utukufu.
K:Matendo ya Bwana ni makuu.-Zab.111.1-6
INJILI:Lk.7:31-35
Yesu aliwaambia makutano:Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki?Nao wamefanana na nini?Wamefanana na watoto walioketi sokoni na kuitana,wakisema,Tuliwapigia filimbi wala hamkucheza;tuliomboleza,wala hamkulia.Kwa kuwa Yohane Mbatizaji alikuja,hali mkate wala hanywi divai,nanyi mwasema,Ana pepo.Mwana wa Adamu amekuja,anakula na kunywa;nanyi mwasema,Tazama,mlafi huyu,na mnywaji wa divai,rafiki wo watoza ushuru na wenye dhambi.Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa watoto wake wote.

No comments: