UTAMBULISHO: BALOZI WA VATICAN NCHINI TANZANIA ASKOFU MKUU MAREK SOLCZYNSKI AJITAMBULISHA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli amepokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Vatikani nchini Tanzania Askofu Mkuu Marek SolczyÅ„ski. Balozi huyo aliwasili nchini Tanzania Julai 12 na anatarajiwa kushiriki katika kilele cha Jubilei ya Miaka 100 ya Upadri nchini Tanzania kitakachofanyika kuanzia tarehe 14-16 Agosti mwaka huu jimboni Dodoma.
Habari na Bernard James, Picha: IKULU 
 
 
 
UTAMBULISHO BALOZI WA VATICAN
 
 
              Reviewed by 
ADOVA COLLECTIONS (T) LTD
              on 
              
August 03, 2017
 
              Rating: 
5
 
               
            
 
 
 
 
            
          
 
 
 
No comments: