ANZA SIKU KWA KUTAFAKARI NENO LA MUNGU LEO JUMATANO 2 AUGUST 2017
SOMO1:Kut.34:29-35
Hata ikawa,Mungu aliposhuka katika mlima Sinai,na zile mbao mbili za ushuhuda zilikuwa mkononi mwa Musa,hapo aliposhuka katika mlima,Musa hakujua ya kuwa ngozi ya uso wake iling'aa kwa sababu amesema na Bwana.Basi Haruni na wana wote wa Israeli walipomwona Musa,tazama,ngozi ya uso wake iling'aa;nao wakaogopa kumkaribia.Musa akamwita;Haruni na wakuu wote wa kusanyiko wakarudi kwake;Musa akasema nao.
Baadaye wana wa Israeli wote wakakaribia;akawahusia maneno yote ambayo Bwana amemwambia katika mlima Sinai. Na Musa alipokuwa amekwisha kusema nao;akatia utaji juu ya uso wake.Lakini desturi ya Musa ilikuwa alipoingia mbele za Bwana kusema naye,kuuvua huo utaji mpaka atoke;akatoka akamwambia wana wa Israeli maneno yote aliyoambiwa.Wana wa Israeli wakauona uso wa Mungu akautia utaji juu ya uso wake tena,hata alipoingia kusema naye
K:Bwana,Mungu wetu,ndiye mtakatifu.-Zab.99:5-7,9
INJILI:Mt.13:44-46
Yesu aliwambia makutano mifano,Ufalme wa mbinguni umefanana na hazina iliyositirika katika shamba;ambayo mtu alipoina,aliificha;na kwa furaha yake akaenda akauza alivyo navyo vyote,akalinunua shamba lile. Tena ufal wa mbinguni umefanana na mfanyabiashara,mwenye kutafuta lulu nzuri;naye alipoona lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda akauza alivyo navyo vyote, akainunua.

No comments: