MASOMO YA LEO JUMAMOSI TAREHE 22 JULY 2017 JUMA LA 15 LA MWAKA
SOMO1:Kut.12:37-42
Wana wa Israeli walisafiri kutoka Ramesesi mpaka Sukothi,walipata hesabu yao kama watu sita mia elfu watu waume waliokwenda kwa miguu,bila kuhesabiwa watoto.Na kundi kubwa la watu waliochangamana nao wakakwea pamoja nao;na kondoo na ng'ombe,wanyama wengi sana.Nao wakaoka mikate isiyochachwa ya ule unga waliouchukua walipotoka Misri,maana,haukutiwa chachu,kwasababu walitolewa watoke Misri,wasiweze kukawia,nao wakikuwa hawajajifanyia tayari chakula.Basi wana wa Israeli kukaa kwao,maana,muda waliokaa ndani ya Misri,ulikua ni miaka mia nne na thelathini.Ilikua siku ile, ya kwamba majeshi yote ya Bwana yalitoka katika ncji ya Misri.Ni usiku wa kuangaliwa sana mbele za Bwana kwa sababu yakuwatoa katika nchi ya Misri;hu ndio usiku wa Bwana,ambao wapasa kuangaliwa sana na wana wa Iaraeli wote katika vizazi vyao.
K:Fadhili zake ni za milele.- Zab.136:1,10-15,23-24
INJILI:Mt.12:14-21
Mafarisayo walitoka wakafanye shauli juu ya Yesu jinsi ya kumwwngamiza.Naye yesu hali akifahamu hayo akaondoka huko;na wwtu wengi wakamfuata;akawaponya wote,akawakataza wasimdhahirishe;ili litimie neno lililonenwa na nabii Isaya,akisema,Tazama,mtumishi wangu niliyemteua;mpendwa wangu,moyo wwngu uliyependezwa naye atawwtangazia Mataifa hukumu.Hatateta wala hatapaza sauti yake wala mtu hatasikia sauti yake njiani.Mwanzi uliopondeka hatauvunja,wala utambi utokao moshi hautazima,hata ailetapo hukumu ikashinda.Na jina lake Mataifa watalitumainia.

No comments: