MASOMO JUMA LA 23 LA MWAKA JUMATANO
SOMO1:Kol.3:1-11
Mkiwa mmefufuliwa pamoja na kristo yatafuteni yaliyo juu,ktisto aliko,ameketi mkono wa kuume wa Mungu.Yafikirini yaliyo juu,sio yaliyo katika nchi.Kwa maana mlikufa,na uhai wenu umefichwa pamoja na kristo katika Mungu.Kristo atakaofunuliwa,aliye uhai wetu,ndipo na ninyi mtafuniliwa pamoja naye katika utukufu.Basi vivisheni viungo vyenu vilivyo katika nchi,uasherati,uchafu,tamaa mbaya,mawazo mabaya,na kutamani,ndiyo ibada ya sanamu;kwa ajili ya mambo hayo huja ghadhabu ya Mungu.Katika hayo nanyi mlitemba zamani,mlipoishi katika hayo.Lakini sasa yawekeni mbali nanyi haya yote,hasira,na ghadhabu,na uovu,na makutano,na matusi vinywani mwenu.
Msiambiane uongo,kwakuwa mmevua kabisa utu wa kale,pamoja na matendo yake;mkivaa utu upya,unaofanywa upya upate ufahamu sawasawa nafano wake yeye aliyeuumba.Hapo hapana Myuunani wala kutotahiriwa,mgeni wala mshenzi mtumwa wala mwungwana,bali Kristo ni yote na katka yote.
K:Bwana ni mwema kwa watu wote.-Zab.145:2-3,10-13
INJILI:Lk.6:20-26
Yesu aliinua macho yake akawatazama wanafunzi wake,akasema,Heri ninyi mlio maskini,kwa sababu ufalme wa Mungu ni wenu.Heri ninyi mlio na njaa sasa,Kwa sababu mtashiba.Heri ninyi mliao sasa,kwa sababu mtacheka.Heri ninyi watu watakapowachukia,na kuwatenga,na kuwashutumu,na kulitupa nje jina lenu kama neno ovu,kwa ajili ya Mwana wa Adamu.Furahini siku ile na kuruka-ruka,kwa kuwa tazama,thawabu yenu ni kubwa mbinguni;maana,baba zao waliwatenda manabii vivyo hivyo.Lakini ole wenu ninyi mlio na mali,kwa kuwa faraja yenu mmekwisha kuipata.Ole wenu ninyi ambao mmeshiba sasa,kwa kuwa mtaona njaa.Ole wenu ninyi mnaocheka sasa,kwa kuwa mtaomboleza na kulia.Ole wenu ninyi watu wote watakapowasifu,kwa kuwa baba zao waliwatenda manabii wa uongo mambo kama hayo.

No comments: