MASOMO JUMA LA 20 LA MWAKA JUMATANO 23 AGOSTI 2017
SOMO1:Amu.9:6-15
Watu wote wa Shekemu walikusanyika pamoja,na jamaa yote ya Milo,Wakaenda na kumtawaza Abimeleki awe mfalme,karibu na huo mgandi ulio karibu na ngome iliyo katika Shekemu. Kisha walipomwambia huyo Yothamu,yeye akaenda,akasimama juu ya kilele cha kilima cha Gerizimu,akapaza sauti yake,akapiga kelele, na kuwaambia:Ni sikizeni mimi,enyi watu wa Shekemu,ili kwamba Mungu naye apate kuwasikia ninyi. Siku moja ilitoka ili kuutia mmoja mafuta uwe mfalme juu yao;ikauambia mti mzeituni,Tawala wewe juu yetu.Lakini huo mzeituni ukaiambia,Je!Niache mafuta yangu,ambayo kwangu mimi watu wamheshimu Mungu na wanadamu,ili niende nikayonge-yonge juu ya mti?Kisha miti ikauambia mtini,njoo wewe,utawale juu yetu.Lakini huo mtini ukawambia,Je!Niuache utamu wangu,na matunda yangu mazuri,niende nikayonge-yonge juu ya miti?Kisha miti ikauambia mzabibu,Njoo wewe utawale juu yetu.Huo mzabibu nao ukaiambia,Je!Niiache divai yangu ambayo humfurajisha Mungu na Wanadamu ili niende nikayonge-yonge juu ya miti?Ndipo hiyo miti yote ikauambia mti wa miiba,njoo wewe,utawale juu yetu. Huo mti wa miiba ukaiambia miti,kwamba ninyi mwanitia mafuta niwe mfalme juu yenu kweli kweli,basi njoni mtumaini kivuli changu;na kwamba sivyo,na utoke moto katika mti wa miiba na kuiteketeza mierezi ya Lebanoni.
K:Ee Bwana,mfalme atazifurahia nguvu zako.Zab.21:1-6
INJILI:20:1-16
Yesu aliwaambia wafuasi wake:Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu mwenye nyumba,aliyetoka alfajiri kwenda kuajiri wakulima awapeleke katika shamba lake la mzabibu. Naye alipokwisha kupatana na wakulima kuwapa kutwa dinari,aliwapeleka katika shamba lake la mzabibu. Akatoka mnamo saa tatu,akaona wengine wamesimama sokoni wasiokuwa na kazi; na hao nao akawaambia,Enendeni nanyi katika shamba langu la mzabibu,na iliyo haaki Nitawapa . wakaenda. Akatoka tena mnamo saa sita na saa kenda,akafanya bvilevile.Hata kama saa kumi na moja akatoka,akakuta wengine wamesimama,akawaambia,Mbona mmesimama hapa mchana kutwa bila kazi?Wakawambia,kwa sababu hatuna mtu aliyetuajiri.Akawaambia enendeni nanyi katika shamba la mzabibu. Kulipokuchwa,yule bwana wa shamba akamwambia msimamizi wake,Waite wakulima,uwalipe ujira wao,ukianzia wa mwisho hata wa kwanza. Na walipokuja wale wa saa kumi na moja,walipokea kila mtu dinari.Na wale wale wa kwanza walidhani watapokea zaidi; na hao pia wakapokea kila mtu dinari.Basi wakiisha kuipokea,wakamnung'unikia mwenye nyumba,wakisema,Hao wa mwisho wametenda kazi saa moja tu,nawe umewasawazisha na sisi tuliostahiri taabu na hari za mchana kutwa.Naye akamjibu mmoja wao,akamwambia,Rafiki,sikudhulumu;hukupatana nami kwa dinari?Chukua iliyo yako uende zako;napenda kumpa huyu wa mwisho sawa na wewe. Si halali yangu kutumia vilivyo vyangu kama nipendavyo?Au jicho lako limekuwa ovu kwa sababu ya mimi kuwa mwema.Vivyo hivyo wa mwisho watakuwa wa kwanza,na wa kwanza watakuwa wa mwisho.

No comments: