MASOMO YA LEO ALHAMISI TAREHE 27 JULAI 2017
SOMO1:Kut.1-2,9-11,16-20
Mwezi wa tatu baada ya kutoka Waisraeli katiak nchi ya Misri,siku iyo hiyo waligika jangwa la Sinai.Nao walipokuwa wameondoka Refilimu na kufika jangwa la Sinai,watakuwa katika lile jangwa;Israeli wakapiga kambi huko wakiukabili mlima.Bwana akamwambia Musa,Tazama,mimi naja kwako katika wingu zito,ili watu hawa wasikie nitakaposema nawe,nao wapate kukuamini wewe na hata milele.Musa akamwambia bwana hayo maneno ya watu. Bwana akamwambia Musa,Enenda kwa watu hawa;ukawatakase leo na kesho,wakazifue nguo zao,wawe tayari kwa siku ya tatu;maana siku ya tatu Bwana atashuka katika mlima wa Sinai machoni pa watu wote.Ikawa siku ya tatu,wakati wa asubuhi,palikuwa na ngurumo na umeme,na wingu zito juu ya mlima,na sauti yw baragumu iliyolia sana.Watu wote waliokuwa wakatetemeka.Musa akawatoa watu katika kituo,akawaleta ili waonane na Mungu;Bwana alishuka katika moto;na ule moshi wake ukapanda juu kama moshi watanuru,mlima wote ukatetemeka sana.Na hapo sauti ya baragumu ilipozidi kulia sana,Musa akanena,naye Mungu akamwitikia kwa sauti.Bwana akaushukia mlima,juu ya kilele cha mlima;Bwana akamwita Musa aende hata kilele cha mlima;Musa akapanda juu.
K:Wastahili kusifiwa na kuadhimishwa milele.-Dan.3:52-56
INJILI:Mt.13:10-17
Wanafunzi walimwambia Yesu,kwa nini wasema nao kwa mifano?Akajibu,akamwambia,Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni,bali wao hawakujaliwa.Kwa maana ye yote mwenye kitu atapewa,naye atazidishiwa tele;lakini ye yote asiye na kitu,hata kile alicho nacho atanyang'anywa. Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano;kwa kuwa wakitazama hawaoni,na wakisikia hawasikii,wala kuelewa.Na neno la nabii Isaya linatimia kwako,likisema,kusikia mtasikia,wala hamtaelewa;kutazama mtatazama,wala hamtaona.Maana mioyo ya watu hawa mekuwa mizito,na kwa msikio yao hawasikii vema,na macho yao wameyafumba;wasije wakaona kwa macho yao,wakasikia kwa masikio yao,wakaelewa kwa mioyo yao,wakaondoka nikawaponya.Lakini,heri macho yenu,kwakuwa yanaona;na masikio yenu,kwa kuwa yanasikia.Kwa maana,amini,nawaambia,Manabii wengi na wenye haki walitamani kuyaona mnayoyaona ninyi,wasiyaone;na kuyasikia mnayoyasikia ninyi,wasiyasikie.

No comments: