BALOZI WA VATICAN NCHINI TANZANIA


Jumatano, 12 Julai 2017


PICHA MBALIMBALI ZA UJIO WA BALOZI WA VATICAN NCHINI TANZANIA ASKOFU MKUU MAREK SOLCZYNSKI MUDA HUU




Balozi wa Vatican nchini Tanzania AskofuMkuu Marek Solczyński amewasili nchini muda si mrefu huku akilakiwa na Naibu Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Dodoma Mhashamu Beatus Kinyaiya, Katibu Mkuu wa Balozi wa Vatican nchini Daniel Pacho, Askofu Liberatus Sangu, Askofu Alfred Maluma, Naibu Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Padri Daniel Dulle, wawakilishi wa Jimbo Kuu Dar es Salaam na baadhi ya watendaji wa TEC. Kabla ya kuteuliwa kuja nchini, Askofu Mkuu Solczyński alikuwa Balozi wa Vatikani nchini Georgia, Armenia na Azerbaijan. (Picha na Habari, Bernard James)

























No comments:

Powered by Blogger.